Nyumba za AVIC TOWN vs DEGE ECO VILLAGE

arigold

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
600
341
Bei zao vipi

Zipi zinafaa kununua kwa mtu mwenye kipato cha kati?

Pay plan zao zikoje?

Nataka kujua maoni ya wana JF
 
Bado wapo kimya mzee. Sasa hivi watu wanaongelea pisi Kali za insta tuu.
 
Back
Top Bottom