Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Mkuu kwani bado ujafunga ndoa?Pazuri kweli....honeymoon panafaa sana.
Usingizi mnono ntaamka kesho kutwa ( Please dont disturb me)
Mkuu kwani bado ujafunga ndoa?
Mbona bado unawaza kama mtu ambaye hajafunga ndoa au unawaongelea mabachelaor?Nshafunga tayari..
Twende tukalale!wonderful kuko simple but pazurijee
Twende tukalale!
Tupange kwa njia ya PM!lini tutaenda
Mbona bado unawaza kama mtu ambaye hajafunga ndoa au unawaongelea mabachelaor?