Nyumba ya wapangaji inauzwa Morogoro!

Nyumba ya wapangaji inauzwa Morogoro!

Nyumba ipo maeneo ya Chamwino mwishoni karibu na Modeko.

Ina vyumba 11 kwa ajili ya kupangisha.

Ina hati na kiwanja kimepimwa, maji na umeme vipo na havikatiki 24hrs maana line yake inatumia line ya jeshi!

Price 30m

Mawasiliano
0762 835 700
0656 475 081

Samahanini,
bc648af4a152aa9c3a1ea6ef5a79edd9.jpg
24de5a100f40c83edfa9573c6a0280ec.jpg
80826934d8c022f3bb4fadaa9abaab0f.jpg
93fc501d9e2abccde8b222de78609eda.jpg
sihitaji dalali mimi ndo muuzaji

Karibuni!
Bei gani mkuu
 
Acha dharau[emoji57] watu km ndiyo walewale 900 itapendeza fyuu km umeona ni gofu si unyamaze amekwambia umwambie hovyooo "eti kila la kheri" [emoji15] unafki mtupu!.
Mtu wa dizain hii ukute hata kiwanja hana na kapanga chumba kimija uswazi
 
Milioni 30[emoji15].... Afu chamwino(tandale ya morogoro) ?
 
Na kiwanja kilichobaki kina ukubwa gani?
 
Back
Top Bottom