Nyumba ya Vyumba vitatu inapangishwa Sinza DSM

Nyumba ya Vyumba vitatu inapangishwa Sinza DSM

T
Naona umekariri mkuu
Vyumba
Nyumba nzuri ya ya kisasa inajitegemea kila kitu Ipo Sinza, Ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo Master, choo cha public, sitting room, dining, tiles, gypsum, sliding windos, paving Blocks, car parking space, Maji masaa 24! kodi ni 600,000/= kwa mwezi

Kwa maelezo zaidi nichek kwa 0684448888 au 0713415537View attachment 793817View attachment 793816View attachment 793818View attachment 793819View attachment 793820View attachment 793821View attachment 793822View attachment 793823View attachment 793824View attachment 793825View attachment 793826

NB kwa mahitaji yoyote ya nyumba maeneo yoyote pia usisite kunichek, Nyumba, vyumba, frem nk

Karibuni
Vyote ni self contained? Vina bafu na choo?
 
Young professionals mnaweza kujipanga watatu mkachukua nyumba. Anaeapata master bedroom anatoa laki tatu
Inategemeana Kila mmoja eneo lake la kazi liko wapi?
Mnaweza kuungana halafu unakuta mmoja ili afike kazini kwake inabidi apande dala dala nne
 
Inategemeana Kila mmoja eneo lake la kazi liko wapi?
Mnaweza kuungana halafu unakuta mmoja ili afike kazini kwake inabidi apande dala dala nne
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Daladala 4 za kuunganisha
 
Nyumba kama hiyo kunduchi unapata kwa laki 2.5 hadi laki 3!!! Hiyo laki 6 ingekua enzi zile,ungeshapata mteja long
 
600,000 zote unalipia pango tu, bado gharama za maisha na karo. Teh...huyu magufuli mbona haangazii hili eneo?
 
Back
Top Bottom