House4Rent Tunapangiasha na kuuza Nyumba na majengo Tanzania

kwadilo

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
756
893
Nyumba inapatikana ukonga, Mombasa
Njia ya lami kuelekea mazizini.
(Kutoka stand mpaka kwenye nyumba ni mwedo wa dakika 5)

Maelezo.
Nyumba ina vyumba viwili (ikiwemo master moja)
Sitting room, jiko, public toilet na store.
Full tiles, gypsum, shunter Windows.
Maji ya dawasco
Iko ndani ya fensi na parking ya kutosha.
Kodi kwa mwezi ni 200k (× 6month)
IMG-20181227-WA0061.jpeg
IMG-20181227-WA0063.jpeg
IMG-20181227-WA0067.jpeg
IMG-20181227-WA0065.jpeg
IMG-20181227-WA0071.jpeg
IMG-20181227-WA0070.jpeg
IMG-20181227-WA0072.jpeg
IMG-20181227-WA0068.jpeg
IMG-20181227-WA0062.jpeg
 
Duu kuna ukweli hapa? Ndo kusema huko ukonga wanakaa malofa sana mpaka nyumba ya qualities hizo ipangishwe kwa laki 2?
 
Na vipi ungekuta inapangishwa kwa laki 5.
Naamini ungeshangaa maeneo kama ya ukonga kuwa na gharama kubwa ya kodi.
Binadamu huwa haturidhiki.
Of course haturidhiki lakini nimebaki kinywa wazi, say ningekuta laki 5 at least huo mshangao nisingekuwa nao. Ni sawa na siku nilikuta supu ya nyama ya 500 pale Sikonge. Sikula Mimi!!!
 
Sikonge mbona ni kawaida kabisa mkuu, kuna mzee wangu ni teacher yuko pale nikiendaga ni Mwendo wa supu na nyama choma tu.
Warning: kama huna wenyeji hata nyama ya punda unauziwa.
Hahahaaa hatari poa Jamaa yangu
 
Nyumba inapatikana mbezi beach, kituo cha goigi.
Ni umbali wa dakika moja mpaka lami (bagamoyo road)
Maelezo:
Nyumba ina Nyumba vitatu ( master bedroom moja)
Vyumba vyote vina kabati za ukutani.
(Tiles, gypsum na perving blocks)
Kodi kwa mwezi ni 550k (×6)
For serious individuals call: 0756 832833
IMG-20190102-WA0010.jpeg
IMG-20190102-WA0005.jpeg
IMG-20190102-WA0006.jpeg
tapatalk_1546418092720.jpeg
tapatalk_1546418104347.jpeg
tapatalk_1546418110541.jpeg
IMG-20190102-WA0007.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba ni ya kisasa inapatikana BOKO kituo cha magereza.
Details
Ina vyumba vitatu (kimoja master)
Public toilet, kitchen, store, sitting room na dinning room
NYUMBA ni full finished
(With tiles, gypsum na aluminum windows)
Eneo lake ni sqm 2400
Tayari INA offer (process za hati ndio ziko kwenye mchakato)
Price: 90m (negotiable)
For only serious individual call/SMS: 0756 832833
IMG-20190114-WA0107.jpeg
IMG-20190114-WA0106.jpeg
IMG-20190114-WA0105.jpeg
IMG-20190114-WA0103.jpeg
IMG-20190114-WA0104.jpeg
IMG-20190114-WA0102.jpeg
IMG-20190114-WA0101.jpeg
IMG-20190114-WA0099.jpeg
IMG-20190114-WA0100.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo nyumba nakuja inunua kwa M55, kwa kuniweka sawa nitajie tu umbali kutoka barabara ya bagamoyo, na je hapo nyumbani kwangu papya panafikaka kwa gari? Ukiweka historia ya umiliki ni vyema, yaani ni familia, talaka hivyo wanagawana mali n.k. Hiyo picha inaonekana kama kuna nyumba nyingine ndani, itolee ufafanuzi au ikiwezekana uongeze pich zinazojieleza zenyewe. Ukitaja ukubwa wa vyumba nayo pia itapendeza

ni mimi mnunuzi MM
 
Salaam,
Nyumba inapatikana maeneo ya ilazo, karibu kabisa na shule ya MARTIN LUTHER.
Specific details
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala (ikiwemo master)
Eneo la kiwanja ni sqm 600
Ina documents zote muhimu (plot tittle)
Price: 45m
Call/SMS 0756 832833
IMG-20190121-WA0102.jpeg
IMG-20190121-WA0101.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom