nyumba ya sanaa inabomolewa?

nyumba ya sanaa inabomolewa?

Gari bovu

Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
5
Reaction score
0
Nimeona mahali fulani watu wanalalamika,eti nyumba ya sanaa(Nyerere cultural centre) inavunjwa.ni ile iliyo makutano ya Ohio na Mwinyi road inavunjwa,hivi kuna mwenye hizi habari?Kama ni kweli,nani kauza hiki kituo cha sanaa zetu?
 
Back
Top Bottom