Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,796
- 165,538
Usalama wapo wapi? Hii ni laana sasa!
Katika hali ya kushangaza,nyumba ya baba wa Taifa iliyoko huko Msasani jijini Dar-es-salaam, imevamiwa na inadaiwa vitu kadhaa vimeibiwa vikiwemo TV,Computer na vitu vingine.
CHANZO:Magazeti CHANNEL TEN
MY TAKE:
Hivi hii si aibu kwa serikali inayotamba kumuenzi baba wa taifa?
Naona labda kuna ulinzi wa "kichina" tu pale!Mkuu Salary slip unataka kuniambia ulinzi uliokuwepo pale kwa mwalimu serikali imeusitisha?
Only in Tanzania... IGP anaibiwa, balozi anawakilisha nchi yake anaibiwa simu lkulu, sasa nyumbani kwa Nyerere father of nation.
Who cares?
Only in Tanzania... IGP anaibiwa, balozi anawakilisha nchi yake anaibiwa simu lkulu, sasa nyumbani kwa Nyerere father of nation.
Who cares?
suala la wewe kulala na kuacha mlango wazi af uanze kulaumu usalama ni kutokuwatendea haki
Kilichobaki ni siku moja kusikia Ikulu nako kumetokea wizi!
Kuishi Tanzania ni kuona mengi!
kuna watu wanafanya hujuma ili serikali ilaumiwe tena wanatumwa na vyama vyao vya siasa