masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,886
- 15,101
protea aishi hotel. Nyumba ya familia ya mzee aikaeli mbowe baba yake na freeman mbowe. Umetosheka?
Ndinkafu ugonile, lazima nioe mshaga bwana kwao kuziri hivi!duu mabwaku mboni tungo tata..
Masopakyindi, ukomile ipicha inyumba jhangu kulalasya jhani?, kulonda kulisya?:israel:
Protea Aishi Hotel. Nyumba ya familia ya Mzee Aikaeli Mbowe baba yake na Freeman Mbowe. Umetosheka?
Aeka mbona mkali hivi?Protea Aishi Hotel. Nyumba ya familia ya Mzee Aikaeli Mbowe baba yake na Freeman Mbowe. Umetosheka?
Aeka mbona mkali hivi?
Nilikuwa huko hivi karibuni kukafuata kabinti kazuri ka kipalestina!
Lakini umepatia hapo ni Machame,Aishi Hotel kwa Mzee Mbowe original, baba yake na Freeman Mbowe wa CDM.
Sina uhakika kama bado hoteli hii imo kwenye chain ya Protea maana waliwashitukia wale wasouth Afrika kwa utapeli.
Eeeka naendelea kufukuzia maana kabinti kalinichukua hapo kunionyesha demo ya mavitu ninayotakiwa kuyaweka, la sivyo sipati mali!!!Vipi mkuu ulimpata mtarajiwa? Da watu kwa kufukuzia? Mpaka huku mazeeeeeee! Send off ntakuja Mangi maana unahitaji mkalimani!