Nyumba ya makamu wa Rais....

bora wao wamejenga kwao, mbona nyie mnaenda kujenga uswisi:shut-mouth:
 
Uzuri wa Kenya wanawakumbuka pia Wananchi.
Duh! Umeshafika Kenya wewe? kwanza nianzie hapo. Na kama kuna Serikali au nchi haijali wananchi wake ni Kenya, hivyo kusema Kenya inajali wananchi wake wenyewe wakikusikia wanaweza wakakupiga mawe. Au labda ulimaanisha wanawajali kivipi? maanake kuna njia nyingi za kujali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…