Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kijitonyama au sinza. Iwe 2 bedrooms, 1 sitting room, bei Tshs 150,000 kwa mwezi na kwa kuanzia malipo ya miezi 6 yatalipwa. kama unayo tafadhali nijulishe.