nyumba ya kupanga ubungo riverside au mabibo

nyumba ya kupanga ubungo riverside au mabibo

DAVIES

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
516
Reaction score
90
Habari wanajamvi
nitahitaji chumba cha kupanga maeneo hayo hapo juu kwa sh.35000-40000 ila tu kiwe kizuri na kikubwa angalau pawepo na hudduma muhimu karibu. Pia kwa yeyote mwenye kujua sehemu yeyote pana nyumba ya kupangisha ani pm ili nifahamu kumbuka pawe na usalama tu manake sikuzingine naenda kuhangaika na vibarua vya watu nakulala huko huku, ahsanteni nawasilisha kwenu. OK NIKUANZIA MWEZI WA NNE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom