Nyumba ya kupanga inahitajika

Nyumba ya kupanga inahitajika

Farmer82

Senior Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
183
Reaction score
39
Wadau natafuta nyumba ya kupanga kwa maeneo ya Riverside,Kibangu,Mabibo along Sum Nujoma Road,mpaka maeneo ya Tabata!nahitaji nyumba ya vyumba viwili na sebule au chumba na sebule ila choo kiwe kinajitegemea!ahsanteni wadau
 
Back
Top Bottom