Nyamburi JF-Expert Member Joined Oct 28, 2011 Posts 306 Reaction score 37 Dec 17, 2011 #1 Wadau hasa wa pale Moro naombeni msaada wenu,nahitaji nyumba kwa ajili ya kupanga hasa maeneo ya MAZIMBU au MODEKO,kwa yoyote anaweza kunipa taarifa ya upatikanaji naomba ani PM au tuwasiliane kwa simu 0784670026
Wadau hasa wa pale Moro naombeni msaada wenu,nahitaji nyumba kwa ajili ya kupanga hasa maeneo ya MAZIMBU au MODEKO,kwa yoyote anaweza kunipa taarifa ya upatikanaji naomba ani PM au tuwasiliane kwa simu 0784670026
T tizo1 JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 861 Reaction score 160 Dec 18, 2011 #2 Nyumba iwe na mahitaj gan?chumba 1,2,3,4 au vingap?iwe self au?
Nyamburi JF-Expert Member Joined Oct 28, 2011 Posts 306 Reaction score 37 Dec 18, 2011 Thread starter #3 tizo1 said: Nyumba iwe na mahitaj gan?chumba 1,2,3,4 au vingap?iwe self au? Click to expand... Sebule na chumba self sio mbaya au hata vyumba viwili na sebule mkuu!
tizo1 said: Nyumba iwe na mahitaj gan?chumba 1,2,3,4 au vingap?iwe self au? Click to expand... Sebule na chumba self sio mbaya au hata vyumba viwili na sebule mkuu!
T tizo1 JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 861 Reaction score 160 Dec 18, 2011 #4 Nyamburi said: Sebule na chumba self sio mbaya au hata vyumba viwili na sebule mkuu! Click to expand... sawa ngoja niwasiliane na watu wangu..,.nitakucheck.....
Nyamburi said: Sebule na chumba self sio mbaya au hata vyumba viwili na sebule mkuu! Click to expand... sawa ngoja niwasiliane na watu wangu..,.nitakucheck.....
Nyamburi JF-Expert Member Joined Oct 28, 2011 Posts 306 Reaction score 37 Dec 18, 2011 Thread starter #5 tizo1 said: sawa ngoja niwasiliane na watu wangu..,.nitakucheck..... Click to expand... Ok mkuu,nashukuru
tizo1 said: sawa ngoja niwasiliane na watu wangu..,.nitakucheck..... Click to expand... Ok mkuu,nashukuru
araway JF-Expert Member Joined Sep 26, 2007 Posts 534 Reaction score 147 Dec 18, 2011 #6 ipo moja mitaa ya mazimbu kuna best wangu amehama amehamia kwake lakini ni kubwa inavyvumba v4 no fence ni pm ukitaka
ipo moja mitaa ya mazimbu kuna best wangu amehama amehamia kwake lakini ni kubwa inavyvumba v4 no fence ni pm ukitaka
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 793 Dec 19, 2011 #7 araway said: ipo moja mitaa ya mazimbu kuna best wangu amehama amehamia kwake lakini ni kubwa inavyvumba v4 no fence ni pm ukitaka Click to expand... Hiyo ni bei gani mkuu?
araway said: ipo moja mitaa ya mazimbu kuna best wangu amehama amehamia kwake lakini ni kubwa inavyvumba v4 no fence ni pm ukitaka Click to expand... Hiyo ni bei gani mkuu?