Nyumba ya kupanga (Kibaha) inatafutwa

CHE GUEVARA-II

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Messages
532
Likes
35
Points
45
CHE GUEVARA-II

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2010
532 35 45
Wadau, habari zenu?
Ni matumaini yangu kuwa mnafuatilia uchaguzi kwa makini kabisa! Tusije tukachakachuliwa! (N.B: Hii haihusiki na mada ninayotaka kuileta hapa)
Naomba yeyote anayeweza kunisaidia kupata nyumba ya kupanga Kibaha mjini au maneo yoyote ya karibu au hata kama Visiga kuna nyumba nzuri itakuwa vizuri zaidi.
Nyumba ninayohitaji angalu iwe na:
1.Vyumba viwili au vitatu na iwe self contained au chumba kimoja kiwe masterbedroom.
2.Kuwe na fence, ukuta, wigo au chochote ambapo kuna geti kwa ajili ya usalama kwa ajili ya vitu vya ndani kama gari n.k
3.Kuwe na umeme
4.Kuwe na maji
5.Isiwe sehemu ya kushare umeme, maji au nyumba - sitaki kelele na watu, yamenikuta!

Naomba mahali nyumba ilipo, maelezo kama nilivyotaja hapo juu, bei na contacts.

Asante!
 
Duh, chali! No response!
 
Forum statistics

Threads 1,237,598
Members 475,626
Posts 29,294,278