Nyumba ya kupanga inahitajika

van mab

Senior Member
Dec 6, 2016
103
61
Nyumba ya kupanga inahitajika isiyozidi laki mbili kwa mwezi..
Maeneo ya Tabata yote, segerea, majumba sita, ukonga, uwanja wa ndege, ilala..

Pia buguruni, ubungo external, changombe, temeke, mombasa,yombo karibu na Tzr, vingunguti

Mawasiliano 0715407508
 
Habari yako.hope no shwari.nimeona thread yako jamii forum kua inahitajika nyumba maeneo uliyotaja.Mimi Nina nyumba ya vumba vitatu maeneo ya taraza relini pale taa mbili kuelekea Yombo.kama utakua tayari IPO tuwasiliane.Jina language ni Deogratius Mtui ni mmiliki Wa hiyo nyumba.
 
weka picha pamoja na bei
 
Back
Top Bottom