md4doctor2000 JF-Expert Member Joined Jun 19, 2012 Posts 736 Reaction score 315 Jan 14, 2014 #1 Nyumba ya kupanga inahitajika haraka. Iwe maeneo ya Mwenge, Kijitonyama, Sinza, Makumbusho au Makongo. Vyumba viwili hadi vitatu vya kulala na iwe na uzio unaojiyegemea. Kodi kati ya 250,000/= hadi 300,000/= kwa mwezi. Aliyenayo, tafadhali ani PM!
Nyumba ya kupanga inahitajika haraka. Iwe maeneo ya Mwenge, Kijitonyama, Sinza, Makumbusho au Makongo. Vyumba viwili hadi vitatu vya kulala na iwe na uzio unaojiyegemea. Kodi kati ya 250,000/= hadi 300,000/= kwa mwezi. Aliyenayo, tafadhali ani PM!