Nyumba ya kupanga inahitajika haraka

Nyumba ya kupanga inahitajika haraka

Bitabo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
1,900
Reaction score
690
Wakuu natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kigamboni.
Iwe na room tatu mojawapo iwe master bedroom, umeme,maji, parking ya gari angalau tatu na iwe na fensi. Iwe inajitegemea yaani sio kuingiliana na mtu mwingine.
Bajeti ni laki mbili mpaka nne kwa mwezi kutegemeana na hali ya nyumba yenyewe.
Mwenye nayo anisms 0783 232 984
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom