Nyumba ya kupanga Arusha inatafutwa

Mlima meru

Senior Member
Dec 30, 2012
114
20
Wapendwa
Rafiki yangu anaulizia nyumba ya kupanga Arusha
Atamaliza field yake mid January hivyo wakati wowote kuanzia January/February 2014 atakuwa tayari kuhamia.
Hana familia kubwa sana sana ni baba, mama na mtoto
Sifa:
Iwe na vyumba viwili vya kulala
Iwe na choo ndani
iwe sehemu yoyote Arusha sio mbali sana na town ila yenye usalama

Bageti yake ni laki na nusu kwa mwezi (150,000Shs)

Kama unafaham, msaada tafadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom