Nyumba ya kununua Inahitajika

Logik

Member
Jan 17, 2012
32
4
Nyumba iliyokamilika/bado haijakamilika maeneo ya Tegeta/Bunju Mbezi beach/Afrikana au maeneo ya Mbezi mwisho . Sifa maji yawepo au kama hayapo basi yasiwe mbali, umeme uwe karibu na pia iwe karibu na barabara kuu.
 
Ipo Mbezi beach bei ni Tsh.320,000,000/=
 
Mbona kimya? Una hela mie nina kiwanja nusu heka kina servant kota matata maji full kipo mita 500 kutoka barabarani maeneo ya mbezi kwa komba,una hela tufanye biashara au una hela za mawazo(mkopo)?
 
Nyumba iliyokamilika/bado haijakamilika maeneo ya Tegeta/Bunju Mbezi beach/Afrikana au maeneo ya Mbezi mwisho . Sifa maji yawepo au kama hayapo basi yasiwe mbali, umeme uwe karibu na pia iwe karibu na barabara kuu.

Vipi ndugu maeneo ya Kongowe ya Mbagara unapenda nikupe kitu kipyaaaa? au ndo unataka huko mbezi tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom