Nyumba ya kisasa inauzwa Mbagala 80M.

Mar 16, 2019
29
47
Ipo mbagala (majimatitu)
~Ina vyumba vinne(4) na kimoja(1) ni master bedroom.
~Jiko+store
~Sitting room
~Dinning
~Tiles nyumba nzima
~Alminium windows nyumba nzima
~Kisima cha maji+umeme
~Fensi kuzunguka nyumba nzima
~Parking kubwa
Call/WhatsApp; 0654269099
FB_IMG_1553083284550.jpeg
FB_IMG_1553083264922.jpeg
FB_IMG_1553083281214.jpeg
FB_IMG_1553083272802.jpeg
FB_IMG_1553083269797.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matofali ya biscuit

Ukiwa huko ndani huruhusiwi hata kupiga chafya,au kupiga sabufa utashtukia ukuta unaanza kumomonyoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Mwanajeshi mmoja mstaafu aliuziwa nyumba pale Chamazi Magengeni upande wa Magenge kulia nyuma ya msikiti. Sasa aliponunua akamwita fundi amfanyie marekebisho upande wa Dinning na Sitting room. Fundi alipobomoa kiukuta cha Dinning cha mushangaza kuta za upande wote wa dinning mpaka vyumbani zikashuka zikawa vifusi vya mchanga tupu. Alichofanya ni kwenda kwa aliemuuzia tena kwa bastola na kumwambia amrudishie hela jaama ikabidi arudishe hela.

Hahahaha
 
Ha ha ha ha ha ha kinachonichanganyaga ni kuwa hizi nyumba za(maji matitu, chamazi, chanika) huwa zinafanana sana
Cement mfuko 1 tofali 50
Bati rejects za gauge 32

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom