Nyumba ya kisasa inapangishwa Changanyikeni

Duuuu! Mkuu, uko zama zipi? Hiyo kodi inabidi mtu apate walau net ya M3 na kuendelea. Sasa kwa zama hizi, ngoja tuwaachie wachache watakao afford. Nyumba ni nzuri, ila uwezo ndio kiduchu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom