Boma na kuezeka kwa sqm 210 nilijengewa kwa tshs 87mil kama kila kitu ni juu fundi. Lkn ukinunua ww materials inaweza fika 100mil. Unaposema 300mil nakushangaa labda na finishingNdo nasemea yaani boma peke yake.Sijamtisha,Ninalo nimeliezeka likanishinda finish.Fundi mwenyewe kujenga tu kuanzia msingi hadi ghorofa ya kawaida anakula kuanzia 10-20M.Kuna kitu kinaitwa Slab kinakula pesa hatari.Ukitumia roof za Nabaki Afrika ndo usiseme.Ukijifanya kulinyima cement linaporomoka.Linakula nondo usipime.
Naweza kuwa nimeover estimate lakini msingi 35M slab 35M kuezeka 35M.Pembeni.kuna nguzo zinatoka chini hadi juu.Halafu kuna tofali za kuta.Tofali zake na ratio ya cement si mchezo.Hujamlipa archtect,Engineer,transport.Basi nimepunguza iset kwenye 200M.Na lazima uwe na adabu ya matumizi ya fedha.Yale mambo yetu ya kunywa maji ya rangi ya mende........Ukubwa wa mjengo naonunachangia of course.Ukiona mtu anaishi kwenye ghorofa mmhBoma na kuezeka kwa sqm 210 nilijengewa kwa tshs 87mil kama kila kitu ni juu fundi. Lkn ukinunua ww materials inaweza fika 100mil. Unaposema 300mil nakushangaa labda na finishing
Ndo nasemea yaani boma peke yake.Sijamtisha,Ninalo nimeliezeka likanishinda finish.Fundi mwenyewe kujenga tu kuanzia msingi hadi ghorofa ya kawaida anakula kuanzia 10-20M.Kuna kitu kinaitwa Slab kinakula pesa hatari.Ukitumia roof za Nabaki Afrika ndo usiseme.Ukijifanya kulinyima cement linaporomoka.Linakula nondo usipime.
Mkuu hiyo itakuwa nyumba ya kishua!Uko sahihi.Mafundi wanakuficha ili usiogope.MM niliezeka vifaa tu mbao na roofs (tiles)bila ufundi ilikwenda 35M
Sina ubishi Mkuu kama ni Fundi ,na una uzoefu wengind tunajiuliza kama nyumba za kawaida zinakula zaidi ya 60 he ghorofa ?150mil kwa structure ya 14m to 13 m ni hela nyingi sana.
Mm ni fundi, labda kama nafanya chini ya kiwango
Ghorofa inakamua wewe.Andaa Mil.300 Minimum.Kuna msingi.Kuna slab.Kuna kuezeka.Ya kuanzia.lazima mil.50 uwe nayo mfulomi
Nafikiri hiyo 60mil ni pamoja na finishing kama sijakosea.Sina ubishi Mkuu kama ni Fundi ,na una uzoefu wengind tunajiuliza kama nyumba za kawaida zinakula zaidi ya 60 he ghorofa ?
Mkuu nyumba ya kawaida unayojenga kwa 60mil bila finishing inakuwa na ukubwa gani?nyumba ya kawaida inachukua 40-60M, kwa ghorofa moja weka angalau 100M ila ukiwa na 150M ndo utatoa kitu cha ukweli
Boma la nyumba ya bedroom 3 na mazagazaga mengine kwa kawaida halizidi 25M, hizo za ziada ni finishing kutokana na preferences zako,Mkuu nyumba ya kawaida unayojenga kwa 60mil bila finishing inakuwa na ukubwa gani?
Hapo umeelewekaBoma la nyumba ya bedroom 3 na mazagazaga mengine kwa kawaida halizidi 25M, hizo za ziada ni finishing kutokana na preferences zako,
Inaweza zidi 60M kama ukiweka mbwembwe nyiingi, ila kwa 40M unaweza jenga basic house na kuanza kuishi ndani
Ghorofa inajengeka kwa sababu unajenga taratibu.Mafundi wa ghoroga wanafahamu kabisa mtu yeyote anayetaka kujenga ghorofa lazima yuko safi.mfukoni kwa hiyo wanakuja na quotation iliyochangamka.Mleta hoja usiogope,thubutu.Sina ubishi Mkuu kama ni Fundi ,na una uzoefu wengind tunajiuliza kama nyumba za kawaida zinakula zaidi ya 60 he ghorofa ?
Anasema nipeleke kufanyiwa BOQ, eti nakwenyewe ni toe hela
Usisahau kuweka lift maanake kuna umri ukifika hapo ghorofani utaona kama ghorofa ya sitini.Ramani yangu ni m14 urefu na 13 upana. Nataka nijenge gorofa moja. Chini na juu kunafanana. Mpaka nikiezeka nitatumia sh ngapi? Fundi kasema isipungue 60mil. Je ni kweli? Kwa mwenye uzoefu tafadhali