Hiyo ya kuishi mtu mmoja!
Haiko sawa na vyumba vya kupanga kariakoo na tunakaa familia nzima!
Hiyo ya kuishi mtu mmoja!
Mkuu inavyooneka watu wanashindwa kulinganisha kipato cha watanzania walio wengi na vipato vyao vya kula kwa kalamu.Who told you 20m is cheap? watu wanajenga nyumba mtaani kwa 4m na wanaishi powa kabisa
Hii nyumba infaa sana kwa wale wanaotaka kujenga, ni kiasi cha kuja hapa na kuhesabu tofali ngapi zimetumika kujengea nyumba yenye ukubwa kama huu, then nafikiri itamsaidia sana kukadiria gharama za ujenzi.View attachment 142195Cheaper house like this you mean? see the toilet? Whoever leave in this house can understand you when you say cheap house of 35m or 20m? Bro are u Tanzania, ushawahi ona maisha ya uswazi?
ni kweli mkuu, maana hata huyo Injinia Mchechu kwa kipato chake, hiyo hela ni ndogo sana kwake. Kwa hiyo ni kweli hiyo ni very cheap....Ni cheap mkuu...unajua kama shirika la nyumba nyumba zao ambazo ni the cheapest ni zaidi ya 35M na wanatamba na kutamba kuwa ni cheap?