Nyumba ya bei rahisi inauzwa

kwa mnaojua kuestimate nyumba kama hii inaenda kama shilingi ngapi,sitaki kusumbua vicredit vyangu kny simu...nataka kujua kama ninafford ninegotiate au si afford nisepe...

Kwa nyumba kama hiyo na eneo iliopo mimi naweza kumpa M59 kama bati zange ni Stainless, kama ni zile bati zetu zile mtafutie M56
 
kwa nyie mliompigia,kawapa hio bei...maana mie kanipigia kukawa na network problem,...nimetext kuuliza shilingi ngapi...hajaniambia mpk sasa hivi,au anatuzuga hauzi?lol:love:
 
Kuna nyumba milioni 20 ila ipo uswahilini vingunguti. Kama unataka kukaa uswazi deal hilo
 
Hiyo nyumba kwanza value kiwanja maeneno ya Kipunguni ni kiasi gani say labda 20m , halafu nyumba kweli imetulia sana na inaelekea bado sio kubwa sana weka kama another 20m za kufanya finishing nzuri. nikimaanisha milango na madirisha na vikolomwezo vingine. then na nyumba yenyewe kwa jinsi ilivo inaweza kurange between 150m to 200m usicheze na kujenga bwana !

Haya Makadirio ya kijuha sana,Kipunguni kiwanja 20M? Wakati mwingine tusome tu,sio lazima ku-comment!!
 
Ipo nchi gani na mkoa gan si unajua tupo watu wa maeneo tofauti sasa mkianza sijui moshi bar,kipunguni mnatuchanganya maana hata simu yangu ya Galax ime search hayo majina inakataa?
 
Nyumba inaonekana Bomba sasa hatujui mazingira yake kama Barabara inafika hadi mlangoni au ndo gari kupaki kituo cha polisi, pia ukubwa wa compound ni vema ukaviweka wazi, pia c mbaya ukatueleza sababu za kuiuza hiyo nyumba ambayo inaonekana haijakaliwa na watu bado, je hakuna migogoro ya kiwanja hapo ?
 
Nyumba nzuri, ila tatizo iko mashenzini... Moshi bar napajua vizuri, kwanza ni kuchafu, pili harufu ya machinjioni inafika mpaka huko, tatu kuna wagogo wengi mno afu ustaarabu F, na tano nikiishi uko watoto wangu watasoma wapi? Afu exposure ni ndogo sana huko.
 
kama hutaki huko huhitaji kusema maneno yote hayo,kwako ni ushenzini wenzako ni uzunguni ,ndg tunaomba tupe bei yake simu baadaye
 
Ipo nchi gani na mkoa gan si unajua tupo watu wa maeneo tofauti sasa mkianza sijui moshi bar,kipunguni mnatuchanganya maana hata simu yangu ya Galax ime search hayo majina inakataa?

teeeeee teeeeeh jina lako lenyewe halina ushirika na maneno yako...teeee teeeh Songoro....umenichekesha sana nafikiri ni gongo la mboto(uk)lol
 
Nyumba hii bado ipo. Price ni 40m tu. Tafadhali tuwasiliane.
 
nyumba nzuri sana,isije kuwa kuna ugomvi wa kifamilia,unataka chukua chako mapema!
 
Moshi bar ni kituo cha mabasi/centre haipakani na bar kama unavyofikiria.
Acha ulongo, Moshi Bar SIO kituo cha mabasi/centre kama unavyoongopa. Hiyo Centre yenyewe ni kama sebule ya Moshi Bar penyewe!
 
Nyumba nzuri, ila tatizo iko mashenzini... Moshi bar napajua vizuri, kwanza ni kuchafu, pili harufu ya machinjioni inafika mpaka huko, tatu kuna wagogo wengi mno afu ustaarabu F, na tano nikiishi uko watoto wangu watasoma wapi? Afu exposure ni ndogo sana huko.
Pambaf! Hivi ukitoka Tatu unaenda Tano? Na unakataa eti Moshi Bar wanao hawatasoma, kwa mantiki hii wewe umesoma kweli iwapo hata kuhesabu moja mpaka tano umeshindwa? Watu wengine kwa masifa, utadhani Mhaya!
 
Back
Top Bottom