Nyumba ya bei rahisi inauzwa

iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,873
4,276
UPDATED 15th MAY

NYUMBA BADO IPO NI MIL 40 TU CHANGAMKA

Ni nyumba ya kisasa kabisa, iko kitunda/kipunguni karibu na moshi bar. Ina sebule ya kupumzika, sehemu ya kulia chakula, vyumba vitatu vya kulala, kimoja kikiwa na choo na bafu (master bed room) na stoo.
Imepigwa plaster nje na ndani, imewekwa tiles pamoja, ceiling board (qypsum), frame za mirango na madirisha. Bado kufuwekwa milango, madirisha na rangi tu.
Bei ni maelewano.
Wasiliana na paulo kwa namba 0715634825, au 0755634825
2012-04-26 16.24.26.jpg
nyumba inavyoonekana kwa mbele
2012-04-26 16.22.01.jpg

nyumba inavyoonekana kwa nyuma
2012-04-26 16.23.34.jpg
nyumba inavyoonekana kwa ubavuni
 
Attachments

  • 2012-04-26 16.24.31.jpg
    2012-04-26 16.24.31.jpg
    375.2 KB · Views: 333
Mmmmh hebu itupie hiyo bei hapa kwa jamvi ili tuitathmini kuwa ni rahisi kweli au; ili hizo namba sasa tutazitumia kwa kubargain"
 
Dalali gani unaficha taarifa muhimu kama bei bana! AU unataka kutu delila?
 
kwa mnaojua kuestimate nyumba kama hii inaenda kama shilingi ngapi,sitaki kusumbua vicredit vyangu kny simu...nataka kujua kama ninafford ninegotiate au si afford nisepe...
 
Ni nyumba ya kisasa kabisa, iko kitunda/kipunguni karibu na moshi bar. Ina sebule ya kupumzika, sehemu ya kulia chakula, vyumba vitatu vya kulala, kimoja kikiwa na choo na bafu (master bed room) na stoo.
Imepigwa plaster nje na ndani, imewekwa tiles pamoja, ceiling board (qypsum), frame za mirango na madirisha. Bado kufuwekwa milango, madirisha na rangi tu.
Bei ni maelewano.
Wasiliana na paulo kwa namba 0715634825, au 0755634825

Nyumba nimeipenda ila tatizo ni hapo kwenye red, watoto watasoma kweli kwa kelele za BAr?
 
kwa mnaojua kuestimate nyumba kama hii inaenda kama shilingi ngapi,sitaki kusumbua vicredit vyangu kny simu...nataka kujua kama ninafford ninegotiate au si afford nisepe...

Hiyo nyumba kwanza value kiwanja maeneno ya Kipunguni ni kiasi gani say labda 20m , halafu nyumba kweli imetulia sana na inaelekea bado sio kubwa sana weka kama another 20m za kufanya finishing nzuri. nikimaanisha milango na madirisha na vikolomwezo vingine. then na nyumba yenyewe kwa jinsi ilivo inaweza kurange between 150m to 200m usicheze na kujenga bwana !
 
Kipunguni huko kuna watu wanahamaishwa kwa ajili ya kupitisha bomba la gesi.hiyo nyumba haijapitiwa na mkasi wa kuvunjwa kweli usije ingiza watu hasara?
 
asante,duh hio bei siiwezi....hivi hamna vinyumba vya milion kumi hadi ishrini.?.....:love:
 
Haiko kwenye mpango wa kubomolewa. Ningefurahi kama ingekua kwenye mpango huo, maana sasa hivi ningekua najiandaa kuvuta changu mapema. Watu wanalipwa pesa nzuri sana. Usiwe na wasi wasi
 
asante,duh hio bei siiwezi....hivi hamna vinyumba vya milion kumi hadi ishrini.?.....:love:
Usiogope, hii ni nyumba ya bei rahisi kama nilivyosema awali. Piga simu au text (SMS) kuuliza ni bure. Karibu
 
Hiyo nyumba kwanza value kiwanja maeneno ya Kipunguni ni kiasi gani say labda 20m , halafu nyumba kweli imetulia sana na inaelekea bado sio kubwa sana weka kama another 20m za kufanya finishing nzuri. nikimaanisha milango na madirisha na vikolomwezo vingine. then na nyumba yenyewe kwa jinsi ilivo inaweza kurange between 150m to 200m usicheze na kujenga bwana !

Mkuu usimtishe Jestina bana
 
Mkuu usiwatishe watu. Ni kweli inahitaji kama 20m kukamilika.Hii nyumba haifiki hata 100m ikikamilika, katika ubora wa juu kabisa, pamoja na ukuta na gate.
 
mkuu mbona unasita kutaja hio bei rahisi hapa?:embarrassed1:
Unajua wengine ukishaweka bei hawatanunua, kwa sababu wanataka wanunue let say kwa mil 80 (Siyo bei yake) halafu wakatambe mtaani kuwa wamenunua nyumba ya mil 200. Ndo maana tunaogopa kuanika bei hapa. Bei ya kuuza ni siri kati ya muuzaji na mnunuzi. Jitose tu mzee, uliza
 
Back
Top Bottom