Nyumba self contained ya room mojaau mbili inatafutwa Dar.

ZEE LA HEKIMA

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
1,420
1,842
Nyumba self-contained (yenye choo cha ndani) inahitajika kuanzia tarehe mosi July. Iwe ya chumba kimoja na sebule, jiko na dining room (lakini hata vyumba viwili sio mbaya kama bei sio mbaya sana}. Iwe na parking ya gari, iwe na maji na umeme. Hata kama ni servants' quarters ni poa tu. Isiwe mbali na barabara ya lami na iwe kaskazini mwa barabara ya Morogoro, (ukiondoa Mansese na Tandale) na kutoka mjini isiwe mbali zaidi ya Ubungo.

Madalali hawatakiwi. Piga picha itume 0756 799 995

Toa maelezo yote kuhusu kodi, mahali nyumba ilipo,na kama kuna wapangaji wengine kwenye kiwanja nyumba ilipo, na hao wapangaji wako wangapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom