Nyumba nzuri sana inauzwa, ipo Dar es Salaam, Goba - Bei ni million 550

Hivi what is so Special about Goba kiasi kwamba watu wauziwe viwanja na majumba kwa gharama ambazo kwangu naona ni overly priced!

Yani nitoe million 500 ninunue nyumba Goba wakati Sinza napata nyumba kwa nusu ya hio fedha ambapo ni Centre zaidi.
 
Madalali wa goba n wangesee sana wameiharibu goba Kwa kuuza maviwanja mamilioni ya helaa ,na kupangisha nyumbaa za kawaidaa tu ety laki 6 Kwa mwezi chumba ,sebule ,choo na kijiko uchwaraa , wkt nyumba km hyo sinza labda laki 3 Kwa mwezii ,yaan goba imepandishwa thaman isiyokuwa nayo..
 
Hivi what is so Special about Goba kiasi kwamba watu wauziwe viwanja na majumba kwa gharama ambazo kwangu naona ni overly priced!

Yani nitoe million 500 ninunue nyumba Goba wakati Sinza napata nyumba kwa nusu ya hio fedha ambapo ni Centre zaidi.

Facts

Hiyo milioni 500 , Chanika unajenga nyumba Kali sana kwa milioni 50 na eneo linabaki la kutosha..

Madalali wa Goba wapuuzi sana..

Mwambieni achukue kararasi aandike Milioni Mia Tano halafu aichukue.
 
Nadhani inabidi wafanye hivyo maana wanaona watu ni wajinga sana.
 
Facts

Hiyo milioni 500 , Chanika unajenga nyumba Kali sana kwa milioni 50 na eneo linabaki la kutosha..

Madalali wa Goba wapuuzi sana..

Mwambieni achukue kararasi aandike Milioni Mia Tano halafu aichukue.
Kumbe na ujanja wako wote unaishi Chanika. Any way Goba ni pazuri mkuu kuhusu thamani ya hiyo nyumba sijui ila
Goba ni sehem nzuri.
 
Nimezaliwa kata ya Makongo nimekulia kata ya Makongo.

Goba naijua nje ndani.

Siwezi nunua property ya millioni Mia Goba.

Bora ungesema hata Changanyikeni at least.

Dar Es Salaam mpya imehamia Chanika na Buza.

Watoto wa elfu 2 kibao wamejaa.

Kwanza Goba hakuna hata watoto wa elfu 2.
 
Wewe unapenda hekaheka ndio maana unapenda huko Chanika, Buza, Tandika na Mbagala uswahilini.
 
Nyumba ni nzuri tena sana

Ila sjui gomba pana uzuri na utofauti gan ad kupelekea nyumba km iyo kuuzwa m550.

Lakin nmekuja kugundua dar kuna watu wengi sana wana pesa ila hawajui kuumiza akili maana unakutana na viwanja, mashamba na nyumba za kawaida tu ila zinauzwa mi100+
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom