Nyumba nzuri mpya na ya kisasa inauzwa

Nyumba nzuri mpya na ya kisasa inauzwa

Nilichogundua ni kwamba jamaa kaamua kutuoshea mjengo wale mkali na hana mpango wa kuuza. ... Hongera mkuu kwa usawa huu kuwa na mjengo huo
Hahaa hapana mkuu nauza kwl ila usiogope hiyo bei ina maongezi japo
 
Pamoja na kwamba nyumba ni nzuri kiaina ila bei ni kubwa sana mkuu. Labda kama kiwanja ulinunua milioni 150+. Au inawezekana unatumia njia mbadala kuhamasisha watu kujenga wenyewe badala ya kununua.
 
Pamoja na kwamba nyumba ni nzuri kiaina ila bei ni kubwa sana mkuu. Labda kama kiwanja ulinunua milioni 150+. Au inawezekana unatumia njia mbadala kuhamasisha watu kujenga wenyewe badala ya kununua.
Kabisa mkuu.hii bei sio bei rafiki.may be ingekuwa sehem ya biashara
 
Hii mijengo ya mchungaji anyejiita makonda huyu ndio maarufu kujenga na kuuza nyumba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom