Nyumba nyumba ndani ya Mwanza

Nyumba nyumba ndani ya Mwanza

Man Mvua

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2016
Posts
2,179
Reaction score
3,522
Natafuta nyumba yenye sifa zifuatazo maeneo ya Malimbe au iwe jirani sana na chuo cha SAUT isizidi km 5 kutoka chuo.

1.iwe na vyumba vitatu kimoja kiwe masterbedroom.

2.iwe na hali nzuri na ya kisasa

3.iwe inajitegemea maji na umeme.

4.iwe na fensi na inajitegemee geti

5.kodi iwe ya miezi mitatu au sita.

Budget yangu ni Tsh. 350,000 kwa mwezi.
Naomba kama unamfahamu mtu yeyote anayepangisha nyumba yenye hali hizo hapo juu anijuze.

Mawasiliano:0756 200 086, 0655 646 568, 0786 477 112

NB: Sihitaji dalali tafadhali.

Ahsanteni sana
 
Mkuu nakupigia kupitia number yako ya tigo mbona hupokei?
 
bado nahitaji nyumba huko malimbe
 
Kwa anayehitaji Kiseke 'A' iko nyumba mpys ya sifa hizo
 
nyegezi mkuu bado mbali kwenda malimbe
 
Back
Top Bottom