Nyumba ndogo

Nyumba ndogo

DALA

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
2,259
Reaction score
4,690
Awe anajielewa, mrembo, umri co chini ya miaka 28 mwanamke awe serious. Tutafutane.
 
Awe anajielewa, mrembo, umri co chini ya miaka 28 mwanamke awe serious. Tutafutane.

Nakala ya thread hii akabidhiwe mrs DALA ,mamodi do ze nidful pliz.
 
Last edited by a moderator:
Unamaana gani aisee?
 
Nyumba ndogo gharamaaa!!!!!!! Umejipangaje?
 
Siku hizi mambo hadharani hadi basi. Una umri gani ndugu, manake navizia pensheni hapo.
Cc Pasco
 
Last edited by a moderator:
naomba useme umejipangaje siyo kipindi cha baridi hiki mi najikunyata peke yangu we unafaidi sema utanifidiaje?
 
Hana kitu huyu anatafuta wa kumpa raha kwa mkopo haha
 
Siku hizi mambo hadharani hadi basi. Una umri gani ndugu, manake navizia pensheni hapo.
Cc Pasco

naona unamtafutia life ban mwenzio embu tulia na sie tujipatiamo nyumba ndogo teh teh baadae inakuja kuwa kubwa
 
Nyumba ndogo zinaharibu ndoa, ukiwa na hamu na mechi za ugenini kamata mabaa maid, machangudoa na wengine wa aina hiyo, sababu baada ya game hakuna kutafutana.
 
....pochi imenona....? starehe gharama....!!!!
 
Mpka nimetoa hoja najielewa jamani! Sitaki maneno natafuta mtu wa ukweli! hayo mengine ni yangu na yeye!
 
naomba useme umejipangaje siyo kipindi cha baridi hiki mi najikunyata peke yangu we unafaidi sema utanifidiaje?
Kwani lazima niweke mambo hadharani hapa bwana? Acha hizzo wewe! Najijua
 
Nyumba ndogo zinaharibu ndoa, ukiwa na hamu na mechi za ugenini kamata mabaa maid, machangudoa na wengine wa aina hiyo, sababu baada ya game hakuna kutafutana.
Nashukuru kwa maoni na ushauri aisee ila hawa uliowataja sidhani kama nina hamu nao!
 
Kwani lazima niweke mambo hadharani hapa bwana? Acha hizzo wewe! Najijua

Raiza hebu mwambie atupe hint kabisa ili tujipange kumpa maraha.aondokane na stress
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom