Hongera sana mkuu! Mi mwenyewe ni nyumba ndogo ya mtu, namwambiaga hivo hivo lakini simaanishi hata chembe, napoteza nae muda tu coz ni kijana mwenzangu na sijaolewa, wala sijawahi kumwomba pesa wala kumsumbua mke wake. Ila hata akiamua kuniacha sitaumia coz sina future nae. Tunakaribia mwaka sasa
Ukishafikia maamuzi kama haya huhitaji tena ushauri
Tukikuambia umhurumie utabadili uamuzi? Nashawishika kuamini kuwa huna uhakika naa unachotaka kufanya, kwa hiyo wewe fanya kadiri roho itakavyokuongoza.
hongera kwa kujitambua na kuitambua nafasi yako kwa mke wako na familia kwa ujumla.
Habari wana MMU.
Kwa kweli nimeamua mwenyewe kwa dhati kabisa naachana na mambo ya nyumba ndogo. Kwa zaidi ya miaka sita sasa sijawahi hata siku moja kuhisiwa na wife kwamba na-cheat ila nimeamua kumrudishia haki yake ya msingi ya kuwa na mimi wakati wowote.
Nimekuwa nikiamini hizi nyumba ndogo zina umuhimu mkubwa sana katika kujenga nyumba zetu, wamekuwa wakijaza pale palipopungua kwa mke, nimekuwa na bahati kubwa ya kukutana na nyumba ndogo zenye amani, wenye furaha, wanaomheshim mke wangu, sio wasumbufu, wasio tegemezi lakini pamoja nahayo yote leo nasema IMETOSHA.
Lakini wakati naelekea maamuzi haya niliwaza changamoto zilizo mbele yangu (hapa ndipo michango yenu na uzoefu wenu unapohitajika zaidi):
1. Hii nyumba ndogo nilienae sasa ana upendo wa dhati (nionavyo mimi), ni mwanamke anestahili kuwa mke wa mtu (namfaham kwa mwaka sasa), ana haiba, anajua kusamehe bila kuombwa msamaha, anajiheshim, ananiheshim na mke wangu pia, anadai anawapenda hadi wanangu (sina hakika). Najua ataumia kuachana na mm, je, nitakuwa na tofauti gani na wanaume wengine wanaowaumiza wanawake waliowapenda kwa dhati??? Nitakuwa nimetenda wema kwa wife, lakini hisia za huyu ninaemwacha hazipaswi kufikiriwa/kuheshimiwa ikiwa hajanitenda ubaya wowote?
2. Je, ni busara kumwacha kwa kumwambia nia yangu ya dhati? Sijawahi kuacha mwanamke kwa kumwambia hapo kabla (hili linanipa mashaka utekelezaji wake)
Mwisho: Niwashukuru wote mliochangia kunifikisha kwenye uamuzi huu kutokana na post zenu, Mtambuzi, watu8, MadameX, HorsePower, Heaven on earth, Mentor, Evelyn Salt, Fixed Point, ......... list ni ndefu sana natamani niwataje wote ila mda wenyewe ndio hivyo hautoshi.
Nitapokea mawazo yenu (unaruhusiwa kushauri, kuponda, kukatisha tamaa, kupongeza .......).
Thanks MMU members.
Tukikuambia umhurumie utabadili uamuzi? Nashawishika kuamini kuwa huna uhakika naa unachotaka kufanya, kwa hiyo wewe fanya kadiri roho itakavyokuongoza.
Chondechonde naomba unirisishe huyo mjana unaomwacha kwani anaonekana ni mke mwema
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
Na hawa ndo wengi....................Habari wana MMU.