Naona picha ya nyama za dafu zimetolewa vizur na kukunjwa kwny sahani yenye mchanganyiko wa mbogaNyumba ndogo raha sana wakuu, hauchoki kila kitu ni burudani kama mnavyoona wakuu hicho kitu cha ugali.View attachment 816753
Sikumanisha mwanaume anaruhusiwa bali mwanamke ikiona anachepuka lazima kinatatizo kubwa mana si rahisi mwanamke aliyeolewa au mwenye mahusiano imara kuchepuka huwa waaminifu sana ikiona anachepuka ujue kashakichoka yaani kuna tatizo kubwa ndani ya nyumba. Tofauti na wanaume wao wanaweza kuchepuka na bado wakiwa na upendo wakutosha kwa wake zaoMwanaume ndio umeruhusiwa kuzini kumbe? kwa mawazo haya tuna safari ndefu zana wanaume...
Hayo ya mwanamke ni sawa ila kuzini kumekatazwa kwa hiyo hakuna uhalali wa kuchepuka labda kuoa mwanamke wa pili n.k ili kukidhi haja zako.Sikumanisha mwanaume anaruhusiwa bali mwanamke ikiona anachepuka lazima kinatatizo kubwa mana si rahisi mwanamke aliyeolewa au mwenye mahusiano imara kuchepuka huwa waaminifu sana ikiona anachepuka ujue kashakichoka yaani kuna tatizo kubwa ndani ya nyumba. Tofauti na wanaume wao wanaweza kuchepuka na bado wakiwa na upendo wakutosha kwa wake zao
Ni pesa yako tuu hata nyumba kubwa ungekuwa unatoa bila kijibakiza ingekuwa raha zaidiNyumba ndogo raha sana wakuu, hauchoki kila kitu ni burudani kama mnavyoona wakuu hicho kitu cha ugali.View attachment 816753
we mwongo. na pia ngano ni chakula cha nguruwe huko ughabuni km urusi hamna mahindi wanalishwa ngano na hilo unalisemeaje? nguruwe hulishwa chakula cha bindamu duniani kote. hata wa pori hula mizizi, wanyama na mihogo na hata mahindi anapovamia mashama. HATA MFUMO WAKE WA CHKULA SIO KAMA WA NGOMBE NA MBUZI NA WENGINE WANAOKULA MAJANI.Mnakula ugali kama nguruwe? Ndio maana akili zenu zimedumaa, ugali wa mahindi ni chakula cha nguruwe sio binadamu.
Jf mambo mengi tunafanya kufurahishana nothing seriousWa JF wengi sana hawana exposure kumbe kuhusu vyakula .
Kiufupi huo sio ugali.
Hicho ni chakula cha ki eritrea.
Nimekaa sana eritrea na.ninekula sana chakula chao.
Huyo ni mkate unatengenezwa na grain ama mchele
Unakata kipande na unatumia kulia chakula hicho.
K amsaada zaidi naomba muingie google.
Na mleta mada sikulaumu kwa sababu na wewe hujui unekurupuka tu kuja kudanyanya watu hapa.
Acha waendelee kuibiwa wanabweteka sana na vyeti vya ndoa, nyumba na watoto wakati sisi wanaume tyko tayar kukuachia ww mke kila kitu kuanzia nyumba, pesa, watoto tujasepa kwa nyumba ndogo kuanza maisha ili mladi huko napata kuhudumiwa kama MtotoNyumba kubwa wanajisahau sana
Acha uboya aa kutudharau wanaume wa dar sisi ndio tunafaidi wanawake wazuri, wasafi, na watam na usifikiri kila mwanaume wadar hana nguvu za kiume wewe wengine tunaishi dar ila tumetoka mikoani kigoma mwanza, tarime, nk tunapiga mgegedo hata nyie wa mkoani hamuoni ndani mwanaume lazima ujielewe kama una kaka ako au ndugu yuko dar na hana nguvu za kuime kisawa sawa ni huyo huyo wengine tuko fiti hataree.Huyu aliepikiwa hivi ni mwanaume wa dar.
Acha uboya wwMnakula ugali kama nguruwe? Ndio maana akili zenu zimedumaa, ugali wa mahindi ni chakula cha nguruwe sio binadamu.
Msalimie madam mwajuma..!Usiku huu ushibe sana ili iweje mkuu
Ni kweliAcha waendelee kuibiwa wanabweteka sana na vyeti vya ndoa, nyumba na watoto wakati sisi wanaume tyko tayar kukuachia ww mke kila kitu kuanzia nyumba, pesa, watoto tujasepa kwa nyumba ndogo kuanza maisha ili mladi huko napata kuhudumiwa kama Mtoto
Acha uboya ww