Hahahaaa ni kweliMods weken huu uzi kwenye stricky threads unafundisha sana
Hawana ubunifu wanaishi kwa mazoeaNyumba kubwa wanajisahau sana
Mods weken huu uzi kwenye stricky threads unafundisha sana
Usiku huu ushibe sana ili iweje mkuuUtashiba kweli au unabakiza nafasi ya karanga mbichi, mihogo, pweza na maziwa fresh..
Mods weken huu uzi kwenye stricky threads unafundisha sana
HahahahahahahahaaUgali km taulo daah nyumba kubwa wanakazi sana
Huyu aliepikiwa hivi ni mwanaume wa dar.Nyumba ndogo raha sana wakuu, hauchoki kila kitu ni burudani kama mnavyoona wakuu hicho kitu cha ugali.View attachment 816753
Sawa mkuu. Usije ukahamia mazima.Unashiba vzr tu mkuu bila tabu mkuu
Si ili apate nguvu ya kupiga kazi vizuri mkuu..Usiku huu ushibe sana ili iweje mkuu
Aah wapi kama hamna hamna, ngombe hanenepi siku ya mnadaSi ili apate nguvu ya kupiga kazi vizuri mkuu..