Hapa ndo napopenda kuhusu kuolewa...HATA UMMEGE MUME WANGU VIPI ,UTAISHIA KUWA 2nd CHOICE anakutumia tu tna kw kificho,me ndo ntakuwa na'spend nae tym zote nzuriii at OUR HOME na bata with my children,Vacations nk....
Niko Mombasa kwa mapumziko ya X-mas na mwaka mpya. Nimesafiri na wife na watoto. Shida sub-house imekasirika sana haitaki mawasiliano na mimi, hapokei simu wala hajibu message. Mimi wanawake wengine sijui wakoje bana.
Pole,,,
Watu wanakuponda as if hawafanyi hii kitu anu ni jambo geni..................
Kula roho kitu inapenda na ukirudi muombe msamaha kwa kumuacha peke ake sikukuu hii.