Nyumba na shamba vinauzwa.

Nyumba na shamba vinauzwa.

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
3,058
Reaction score
2,159
Habari.
Nyumba inauzwa tabata kimanga,ina vyumba vitatu vya kulala,sitting&dinning rooms,self container,tiles,gypsum.Nyumba hipo ndani ya fance ambayo unaweza park gari tatu.Ina hati ya makazi.Umbali dk 5 kutoka kimanga bus stand km unatembea kwa miguu.BEI NI 110milioni.
Shamba lipo kibaha kwa mfipa dk 20 kwa miguu kutoka barabara kuu.lina minazi na michungwa.Ukubwa ni miguu 30 kwa 70.Bei ni 3.5Milioni.
Wote mnakaribishwa.0756587175
 
Mali bado zinapatikana.WAKUU NA NYUMBA NZIMA YA KUPANGA INAPATIKANA.
 
Back
Top Bottom