Nyumba na shamba vinauzwa Morogoro

Nyumba na shamba vinauzwa Morogoro

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,940
1-Nyumba iliopo Maeneo ya Mafiga katika Manispaa ya Morogoro, nyumba inatizamana na kituo cha Mafuta ya Lake OIL inauzwa milioni 120

2-Nyumba ipo eneo la Msamvu bei yake milioni 100

3-Shamba lipo Mikese karibu na kituo cha Mizani lina Minazi na miembe bei yake milioni 100

kama unahitaji piga simu Namba 0713-364-175 au 0789-939-990
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom