CMBO
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 398
- 339
Ushapewa bonge la offer hapo chini 54m kama una kiwanja kingine ujenge tena hata mbili ikiwezekana akitokea tena mteja wa dizain hyo unamalizia moja ziwe tatu tena ununue kiwanja ujenge moja, after 5 yrs tena unapiga tena mshiko mwingine we ukiamka kazi yako ni kusoma magazeti na kuangalia tv kupeleka watoto wako shule na kuwachukua life with minimum stress