House4Sale Nyumba mpya na ya kisasa inauzwa (standard house for sale)

Mmh umesema haijawahi kaliwa lakini cha ajabu sofa,TV na shughuli zingine za kifamilia zinaendelea,au walikuwa Wana angalia mafundi

Shwain
punguza munkari, ulitaka nyumba ikae bila uangalizi?
 
Hiyo nyumba haina mgogoro wowote?
 
kwa wale wahitaji mzee
katoa 5m kutoka 65m
now ni 60m pia unaweza kuja kuongea nae zaidi.
 
kama huna cash yote pia malipo kwa instalment mbili mnakarkbishwa.
 
Nyumba nzuri,ila sijajua hayo maeneo yanakuaje kipindi cha mvua...
 
Nyumba nzuri,ila sijajua hayo maeneo yanakuaje kipindi cha mvua...
geographically maeneo yote ya ukanda huo ni tambarare na yana asili ya kichanga, mvua zikinyesha maji huwa hayakai yote yanakua absorbed.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…