House4Sale Nyumba mpya na ya kisasa inauzwa (standard house for sale)

Hiyo nyumba inang'ata naona umeipigia picha darubini ya sniper ukiwa msata[/
Salaam,
Nyumba inauzwa ipo banana (KITUNDA)
(8km from airport)
Maelezo:
Ina vyumba vinne vya kulala (kimoja ni master bedroom), jiko, sebule, store, dinning room na public toilet.
(Ukubwa wa vyumba ft 12 kwa 12)

Nyumba imeshafanyiwa plundering Bado kufunga gypsum tu.
Pia skimming tayari bado kupaka rangi.
(Mnunuzi atakua na option aina ya finishing nzuri anayoihitaji kuifanya Mwenyewe)

Mwisho kabisa.
Ina fensi iliyozungushwa kwa umeme
Ina kisima chenye kutoa maji safi na salama.
Eneo la NYUMBA ni SQM 625 (25m×25m)
Ipo mtaa mzuri na tulivu uliopangika

Price: 65m (negotiable with owner)

Contact through: 0756 832833

Note: picha za ndani kwa interested clients zitatumwa kwa WhatsApp.
View attachment 807004View attachment 807005View attachment 807006View attachment 807007View attachment 807009
Mkuu, iko Kitunda ipi ? Relini, Shule, Relini, Kati, Forest, Pentagoni au Nyantira ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom