chwechinyong
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 223
- 105
yawezekana kweli hujaelewa au hujui aina ya nyumba nayo izungumzia! sasa nakuelekeza, kwa kawaida nyumba yenye korido moja navyumba pembeni huwa na mlango wa kila chumba na milango miwili wa nyuma na mbele! na kwa kuwa wapangaji ni wengi huwezi kufunga mlango mkubwa mara nyingi huwa umerudishiwa kwani huwezi monitor wapangaji wenzako muda gani waingie ila mlango wako wa chumba ni lazima kufunga japo kwa bidada alikua chumba cha pili ameukalia huku amerudisha mlango! sina maelezo ya ziada kukufanya uamini ila huo ndio ukweli, japo najua mwizi hufikiri kila mtu ni mwizi usikute umezoea kutunga sasa unafikiri kila mtu hapa anatunga!
Hapo kwenye red, pamenifanya nisiiamini stori yako. Nyumba ya kupanga, jamaa karudi mkewe hayupo, amewagongea mlango mmoja hajafungua ndo wakavunja na mlango? Akili yangu bado haijakubali hapo
Hulka, malezi na tabia ni vitu vigumu sana. Mwandishi wa vitabu, marehemu Shabani Robert alisema katika moja ya vitabu vyake. ''ONYO LA BUSARA LA MAMA LIKITOLEWA MAPEMA KWA BINTI NI KINGA BORA MAISHANI KULIKO MILANGO YA MAKUFULI NA MADIRISHA YA MAKOMEO'' Sioni kama nyumba za kupanga wapangaji wengi zina matatizo makubwa kama tunavyojaribu kutafsiri. Moja ya tabia za wanaume ni kutongoza, ni jukumu la anayetongozwa kujipima na kutoa majibu ya kukubali au kukataa kulingana na uhalisia wake. (Yupo kwenye ndoa) alistahili aheshimu ndoa yake. Hakupata onyo la Busara kutoka kwa mama yake.
Ni jukumu pia la anayetongoza kuangalia mwanamke asiyeolewa ndiye anayefaa kutongozwa. Ni ushenzi kujua huyu ni mke wa mtu halafu ukatamani na kufikiria kulala naye. Mwanamme aliyepita mafunzo ya jando hathubutu kutongoza mke wa mtu. Ndiyo sababu akifumaniwa huweza kuuwawa....
unacho kifanya si kibaya kwani wasiwasi ni akili, but amini huo ndio ukweli! swala la kuvunja limekuja kwa kuwa wapangaji wengine walimuona yupo na ukweli wapo waliokuwa wanaujua kwenye wengi hapashindwi jambo na hilo mpaka nikufundishe! wewe mwenyewe unaweza kuwa na mke kila mtu anafahamu nani anakula mzigo ila hakuna wa kukwambia ila siku ukimshika kila mtu utasikia nilikua najua! wapo watu walikuwa pengine wanajua ndio maana wakawa na uhakika ule kuna mtu labda alimuona anaingia mbona hayo maswali hukujiuliza unajiuliza ya kupinga pinga tu! mimi siishi ndani ya nyumba hiyo, ila kwangu ni mtaa mmoja na hiyo nyumba! kama kawaida vijana walileta sitori mtaani ni kafanya uhakiki na kujua ukweli kuwa ni stori ya kweli nikakupa tahadhari hutaki acha, au jaribu neenda kapange nyumba moja na masingle zaidi ya sita uone!Nashukuru mkuu na hayo mazingira ya hizo nyumba nayaelewa sana ila shida yangu ni hapo kwenye kuvunja mlango wa mpangaji mwenzao eti kisa wanamhisi ya kwamba yupo na mke wa jamaa. Kumbuka ni hisia na hakuna aliye na uhakika. Kama aligonga ukawa haujafunguliwa na kwa maneno uliyotanguliza katika kunijibu ni kwamba hodi aliyopiga ikiwa hajajibiwa kuna mengi. Mosi, labda jamaa bado hajarudi (mlango mkubwa haufungwi ili kuwapa uhuru wapangaji wengine kuingia ndani (maneno yako mwenyewe), pili jamaa inawezekana amelala. Yaani yapo mengi ila hilo la kuvunja mlango aisee bado nipo na msimamo wangu ya kwamba haliniingii akilini.
biashara ya kupanga vyumba na mke na watoto
ni against 'human rights' kabisa
vyumba style hiyo wapange bachelors tu
Utaishia kuwaza negativity kwa kila jambo! una uhakika na unalo lisema? watu wa JF wako katika makundi matanoShigongo yuleeee
Hulka, malezi na tabia ni vitu vigumu sana. Mwandishi wa vitabu, marehemu Shabani Robert alisema katika moja ya vitabu vyake. ''ONYO LA BUSARA LA MAMA LIKITOLEWA MAPEMA KWA BINTI NI KINGA BORA MAISHANI KULIKO MILANGO YA MAKUFULI NA MADIRISHA YA MAKOMEO'' Sioni kama nyumba za kupanga wapangaji wengi zina matatizo makubwa kama tunavyojaribu kutafsiri. Moja ya tabia za wanaume ni kutongoza, ni jukumu la anayetongozwa kujipima na kutoa majibu ya kukubali au kukataa kulingana na uhalisia wake. (Yupo kwenye ndoa) alistahili aheshimu ndoa yake. Hakupata onyo la Busara kutoka kwa mama yake.
Stori za vijiweni hizo ukimuuliza atakuambia kuwa nae kahadidhiwa
Enzi hizo niko chuo nilipanga nyumba moja mwenye nyumba alikuwa na vibinti kama vitatu hivi....basi vilikuwa vinashinddana kuvaa kanga moja na kukaa uwani aisee
mimi sijapitia jando kwa hiyo ruksa kutembea na mke wa mtu.
halafu wanalala na mtoto wa miaka 3 chumba kimoja...
mwisho wa siku mtoto awafundishe watoto wenzie jinsi baba anavyoenda cha "pili"
mimi siishi ndani ya nyumba hiyo, ila kwangu ni mtaa mmoja na hiyo nyumba! kama kawaida vijana walileta sitori mtaani ni kafanya uhakiki na kujua ukweli kuwa ni stori ya kweli nikakupa tahadhari hutaki acha
gonga like basi eeeh maana lazima tuulize,kasema kwa manaume aliyepitia jandohawezi kufanya hivyo sasa sisi ambao hatujapitia ruksa?ahaa aaahaaaaaa haaaa! umenichekesha sana!
Nashukuru mkuu na hayo mazingira ya hizo nyumba nayaelewa sana ila shida yangu ni hapo kwenye kuvunja mlango wa mpangaji mwenzao eti kisa wanamhisi ya kwamba yupo na mke wa jamaa. Kumbuka ni hisia na hakuna aliye na uhakika. Kama aligonga ukawa haujafunguliwa na kwa maneno uliyotanguliza katika kunijibu ni kwamba hodi aliyopiga ikiwa hajajibiwa kuna mengi. Mosi, labda jamaa bado hajarudi (mlango mkubwa haufungwi ili kuwapa uhuru wapangaji wengine kuingia ndani (maneno yako mwenyewe), pili jamaa inawezekana amelala. Yaani yapo mengi ila hilo la kuvunja mlango aisee bado nipo na msimamo wangu ya kwamba haliniingii akilini.