Hello Wana JF,
Natafuta nyumba ya chumba kimoja cha kulala,jiko na sebule pamoja na choo ndani kawe self contained. Budget yangu ni 200K. Sehemu iwe ya kupaka gari, nyumba iwe na uzio, sio uswazi na umeme na maji viwe vya kujitegemea. Kifupi pawe pasafi.
Plz naomba mnisaidie

Do u mean una Kenya shilling 200 ambazo ni sawa na 360??? U must be kidding
Wazee wa kusoma vitabu vya kina puwa dadi richi dadi wanasema kujenga ni uoga.Maisha ya kupnga magumu sana...Tujenge tu wajamaa!!!
Wazee wa kusoma vitabu vya kina puwa dadi richi dadi wanasema kujenga ni uoga.
Wazee wa kusoma vitabu vya kina puwa dadi richi dadi wanasema kujenga ni uoga.
Hello Wana JF,
Natafuta nyumba ya chumba kimoja cha kulala,jiko na sebule pamoja na choo ndani kawe self contained. Budget yangu ni 200K. Sehemu iwe ya kupaka gari, nyumba iwe na uzio, sio uswazi na umeme na maji viwe vya kujitegemea. Kifupi pawe pasafi.
Plz naomba mnisaidie
Ungeuliza amemanisha nini kuandika 200K na sio kujifanya wajua zaidi. Ni 200,000. So now unajua K ilimaanisha nini.

K inamaanisha nin? naomba kujuzwa nimeshamalizia lakini ni matusi
Ungeuliza amemanisha nini kuandika 200K na sio kujifanya wajua zaidi. Ni 200,000. So now unajua K ilimaanisha nini.
Mzurimie kwa hizo specification na budget yako uende ukapange Tegeta au Kibamba, unless utakesha sn au mwambie mchepuko akuongezee hela
mwenzio kakutania tu...punguza hasira...mdada...sasa wewe unayenisema mimi kama vile nimeanzisha thread hii unajiona kuwa ndio unaakili kupita? unaniita nije nisoma ujumbe msg yako inajina langu la nini?
weye ndio mmoja wa wadandiaji bila fikra au kusoma yaliyo mbele bali tu kuonekana unajua kumbe unachemka.
Pia leo jifunze kuwa pesa ya Kenya sign yake ni KSh na sio K.