Nyumba karibu na Mlimani City

Nyumba karibu na Mlimani City

TIKEI

Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
62
Reaction score
6
Hello Wana JF,

Natafuta nyumba ya chumba kimoja cha kulala,jiko na sebule pamoja na choo ndani kawe self contained. Budget yangu ni 200K. Sehemu iwe ya kupaka gari, nyumba iwe na uzio, sio uswazi na umeme na maji viwe vya kujitegemea. Kifupi pawe pasafi.
Plz naomba mnisaidie
 
mbwembwe nyingi masharti kibao halafu pesa huna. nenda kapange survey.
 
Zile vilas za M/city ni 5M kwa mwezi.., we nenda kapange kwa bibi kibijo pale survey kwenye choo cha ghorofa..
 
Hello Wana JF,

Natafuta nyumba ya chumba kimoja cha kulala,jiko na sebule pamoja na choo ndani kawe self contained. Budget yangu ni 200K. Sehemu iwe ya kupaka gari, nyumba iwe na uzio, sio uswazi na umeme na maji viwe vya kujitegemea. Kifupi pawe pasafi.
Plz naomba mnisaidie

Do u mean una Kenya shilling 200 ambazo ni sawa na 360??? U must be kidding
 
duh....njoo kino nkutafutie mkuu
 
Wazee wa kusoma vitabu vya kina puwa dadi richi dadi wanasema kujenga ni uoga.

Haahahaha ni uoga kwa mazingira yao hayo sio mazingira yetu ya africa! Tungekuwa na nyumba za kutosha na zenye viwango vinavyostahili na za uhakika tungesema hivyo...!!!!!
 
Wazee wa kusoma vitabu vya kina puwa dadi richi dadi wanasema kujenga ni uoga.

Hivyo vitabu angalia sana maana si kilichoandikwa ufuate, vinakupa uezo wa kupambanua mambo. Issue kujenga kwa TZ ni muhimu lakini si kwenye nchi zilizoendelea maana kwa wao hata upatikanaji wa land ni mgumu na kulipa mortgage ni ngumu kuliko kurent. So watch out man poromosha gorofa lako
 
Hello Wana JF,

Natafuta nyumba ya chumba kimoja cha kulala,jiko na sebule pamoja na choo ndani kawe self contained. Budget yangu ni 200K. Sehemu iwe ya kupaka gari, nyumba iwe na uzio, sio uswazi na umeme na maji viwe vya kujitegemea. Kifupi pawe pasafi.
Plz naomba mnisaidie

Kwa bei hiyo plus hizo specification, du it will take ages and ages tena usipoangalia utawalipa madalali kodi ya miezi mitatu ama hata minne kwenye mizunguko yao eti wanakutafutia nyumba ya namna hiyo which at the end utashangaa unatimiza kilo tatu kwa mwezi
 
Ungeuliza amemanisha nini kuandika 200K na sio kujifanya wajua zaidi. Ni 200,000. So now unajua K ilimaanisha nini.

Mzurimie kwa hizo specification na budget yako uende ukapange Tegeta au Kibamba, unless utakesha sn au mwambie mchepuko akuongezee hela
 
Jaribu kumcheki jamaa anaitwa dalalimokombozi kwa Instagram, mara nyingi anatangaza nyumba za ukweli.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ungeuliza amemanisha nini kuandika 200K na sio kujifanya wajua zaidi. Ni 200,000. So now unajua K ilimaanisha nini.

Dah,
Kumbe K ina maana nyingi hivi :moony:
 
Mzurimie kwa hizo specification na budget yako uende ukapange Tegeta au Kibamba, unless utakesha sn au mwambie mchepuko akuongezee hela

sasa wewe unayenisema mimi kama vile nimeanzisha thread hii unajiona kuwa ndio unaakili kupita? unaniita nije nisoma ujumbe msg yako inajina langu la nini?

weye ndio mmoja wa wadandiaji bila fikra au kusoma yaliyo mbele bali tu kuonekana unajua kumbe unachemka.

Pia leo jifunze kuwa pesa ya Kenya sign yake ni KSh na sio K.
 
mwenzio kakutania tu...punguza hasira...mdada...
 
Hello Wana JF,

Natafuta nyumba ya chumba kimoja cha kulala,jiko na sebule pamoja na choo ndani kawe self contained. Budget yangu ni 200K. Sehemu iwe ya kupaka gari, nyumba iwe na uzio, sio uswazi na umeme na maji viwe vya kujitegemea. Kifupi pawe pasafi.
Plz naomba mnisaidie

hapa kijana wangu utakutana na post za kila namna ambazo hazina msaada sana kwako! tafuta dalali,mtafute jamaa mmoja instagram au facebook anaitwa dalalimkombozi, yuko vizuri yeye amelenga soko la watumishi wenye vipato vya kati, hivyo nyumba mpaka za laki moja mpaka laki nane anazo nyingi, ukimweleza mahitaji yako tu atakupa ushauri wa kushiba, namba yake 0787767665 . Humu watu watakwambia ujenge nyumba yako wakati ndiyo unaanza maisha, wengine watakudhihaki wakati wenyewe walianzia maisha kwa mjomba!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom