Nyumba isiyoisha inauzwa 7.8m

Nyumba isiyoisha inauzwa 7.8m

Badilisha heading ieleweke vizuri, hapo una maana hiyo nyumba haitakaa iishe ( nyumba isiyoisha )
Mkuu nimekuelewa, labda kiswahili tonatofautiana, mods wataangalia ni upi usahihi
 
Mkuu hii nyumba ulikuwa unajenga darasa?
Hapana ipo mwisho wa kiwanja. Zipo mbili za hivyo hapo. Mwisho na mwisho wa kiwanja. Sehemu ya upande mwingine yenyewe inakaa mtu tangu zamani, ilimaliziwa vizuri kuna mpangaji. Kiwanja ni kikubwa ila bahati mbaya upande nusu ndio umeuzwa, imebakia hapo. Vilijengwa pande zote kulinda kiwanja
 
Mbona umeipiga picha ki woga woga ivyo
Mimi niko mbali, hiyo picha nimempostia tu kwenye akaunti yangu. Yeye ndio kapiga, ila napajua vizuri, kumeshajengeka sana hapo. Nami nina eneo karibu na hapo
 
Mwenyewe amesema kwa sasa bei ya mwisho ni 7.3m. Mnakaribishwa wadau wa ardhi na maendeleo ya makazi.

NYUMBA KWANZA MENGINE BAADAE
 
Wakuu poleni na pilika pilika za majukumu.

Vyuma vimekaza na ada za watoto zinakaribia. Ndugu yangu anauza eneo lake ili taifa la kesho liweze kupatikana. Wajomba wanahitaji ada za kwenda shule na maandalizi ya hapa na pale.

Sifa za eneo na nyumba isiyoisha
-Size 12*28m
-Vyumba viwili katikati sebule
-Imeshaezekwa
-Eneo chanika mwishozogo ali
-Umeme upo jirani
-Kumejengeka
Mazungumzo kidogo yapo, simu 0716411720
Nawasilisha

View attachment 648588View attachment 648588

img-20171211-wa0001-1-jpg.648589
mkuu hilo eneo/kiwanja limepimwa/kimepimwa funguka kimaelezo na sisi tufunguke pochi yakhe..
 
Nyumba isiyoisha.. Nimeshtuka sana... Anyway wanakuja utauza tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom