Nyumba isiyoisha inauzwa 7.8m

Nyumba isiyoisha inauzwa 7.8m

Mi nimependa hiyo minazi ilivyo pendeza hapo nje - Safi sanaaaa
 
waangalie wakina dr.shika wanaweza kutokea mkuu
 
wekeni ofa mezani, vijana wajikwamue na elimu
 
Madalali mnakera sana. Hii nyumba wengine wanaiuza 6m, 6.8 na wengine 7.8 sasa ndo biashara gan? Mnataka super profit?
 
Mkuu hii nyumba ulikuwa unajenga darasa?
 
Badilisha heading ieleweke vizuri, hapo una maana hiyo nyumba haitakaa iishe ( nyumba isiyoisha )
 
Shida hapa watu wazima wanaleta masikhara ya kijinga.yaani mtu yupo serious wao wana-post pumba,mkuu usiwaze utampata muhitaji tu maana kizazi hiki wengi hawajali masuala ya makazi wao wanachoangalia ni lini ninunue Passo niende nikachukue wanawake hovyo mtaani huku kapanga chumba kimoja Tandale.hopeless kabisa.
 
Madalali mnakera sana. Hii nyumba wengine wanaiuza 6m, 6.8 na wengine 7.8 sasa ndo biashara gan? Mnataka super profit?
Ni nani mwingine anayeiuza. Wapi umeona tangazo. Hii nyumba sio yangu na hata mwazo nimeeleza ni ya ndugu yangu. Bei yake ndio hiyo ila mazungumzo yanaruhusiwa kwa atakayekuwa interested nayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom