Nyumba ipi unadhani wanaishi kwa Aman kati ya A au B

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,644
18,712
17458256_175113776336002_1040293887958337249_n.jpg
 
A
SABABU
Jamaaa wa mitutu sita hudhani hdkuna cha kupata hapo hivyo hawa kughasi.mfano mi mwenyewe niliishi mfano wa hausi kama hiyo kwa miaka 3 sijawahi kughasiwa hata na kibaka wa dokoa simu japo ndani palijuwa manbo safi lakini yoka nianze kuishi yenye dish wakuu raha ya usingizi haipo na kama ipo si kwa muda wote japo nje kuna tusaminiwe(mlinzi wa kampuni)
 
wote tu hawana amani maana kila kitu kinamazingira yake A nyumba inaweza kuezuliwa i mean nyepesi kubomoka ikitokea upepo wa nguvu, B anahofia majambazi kutokana na mali! so wote wanakuwa na hofu tofauti tofauti kutokana na mazingira yalivyo tofauti tofauti
 
Back
Top Bottom