masanilo@jamiiforums.com
Sure,Hahaha nyumba hii ipo jijini Dar es Salaam
Maeneo ya Msasani karibu na shopers plaza
Inatumia solar
In electronic security guard
Bei maelewano lakini napokea the best offer preferably in USD!
Haya bana kwa kuanzia 40,000 USD ono
Haya bana kwa kuanzia 40,000 USD ono
Mkuu mimi nitatoa $35,000.00 endapo nitaona picha zake na kukubaliana na ilivyo. Kama hutoshuka bado tunaweza kuongea pembeni ili wadau wasijue umenikamuajeMi nina $32000 mkuu au nije private?
Mi nina $32000 mkuu au nije private?
Mkuu mimi nitatoa $35,000.00 endapo nitaona picha zake na kukubaliana na ilivyo. Kama hutoshuka bado tunaweza kuongea pembeni ili wadau wasijue umenikamuaje
Mkuu mimi nitatoa $35,000.00 endapo nitaona picha zake na kukubaliana na ilivyo. Kama hutoshuka bado tunaweza kuongea pembeni ili wadau wasijue umenikamuaje
Mzee hiyo ni yakuanzia haishuki inapanda, kama uko serious nakupa account yangu weka kabisa mshiko nalafu twende kuiona hakikisha una gumboat maana swimming pool hiyo unaiona sipendi kusumbuo biodiversity ya vyura na mbu hapo!
...Usije ukawa unatupunga.
Siwezi kuweka hela ktk akaunti yako kisha ndo nione mbuzi anayelia kama ni wa kweli au la.
Weka picha ya nyumba hapa tuone au nitumie ktk PM ili nijue kama najinyonga kuipata au la.
naona kama flat joke vile. niko doubtfull