Nyumba Inauzwa.

Samahani mkuu hio kwenye picha ndio nyumba inayouzwa?



Ila anyway kwa kuwa ni ilala hata bei ya kiwanja kwa million tano hupati huenda ukapata mteja ila nakushauri ungeongeza details Zaid hasa upande wa picha nyuma na mbele.bila kusahau ukubwa wa uwanja.
 
Hii ni nyumba au ni msingi wa nyumba mkuu

Kiwanja kina ukubwa gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…