leonard ngobole
Member
- Jun 11, 2011
- 83
- 49
Habari wanajamii forum naitwa Leonard ni Recovery officer wa Tambaza Auction Mart, kutokana na kushindwa kulipa deni la mkopo aliochukua benki ya Tanzania Postal Bank, Kampuni ya Tambaza Auction Mart and General Broker tunauza nyumba ya mdaiwa Ester Aloyce Mushi iliyopo maeneo ya mtoni kijichi maeneo kata ya mbagala kuu manispaa ya Temeke. SIFA ZA NYUMBA🙁1)Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala (II)Sebule (III)Sehemu ya Chakula (iv) Choo na bafu, (v)Maji na Umeme (vi) nyumba imezungushiwa uzio (vii) nyumba ipo M150 kutoka barabara ya rami (viii) Nyumba ina leseni ya makazi TMK039563 L.O No TMK/MBGK/KJC 19/82..... Bei ni Millioni 30 mazungumzo yapo. Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0684420141, 0658083460,