Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 850
- Thread starter
-
- #41
ni kweli hana pesa analeta porojo tuMwambie hana pesa.
unaharibu biashara za watu boss[emoji3][emoji3]
unapopaniki ndio wateja watazidi kuwa na hofu.usipanikiTumia akili, hiyo post ya mwaka gani na hiyo nyumba ya mwaka gani
Sio lazima kila post lazima ucomment
aisee ngoja niangalie hii vita uliyoianzisha itaishaje[emoji23]Msinunue hii nyumba, tabata ni majangaaaa. Narudia tena ni majanga na tusije kulaumiana humu kuna bomoa bomoa na taarifa ni kwamba vipimo vinaonyesha nyumba nyingi zitaenda na maji.
Hamna mteja hapo kakaunapopaniki ndio wateja watazidi kuwa na hofu.usipaniki
Wala sio vita ni watu tu sio waelewaaisee ngoja niangalie hii vita uliyoianzisha itaishaje[emoji23]
Ndio hana akili, wewe huna hata kibanda ni dalali tu na unaangalia kitumbo chako hujali maslahi ya wengine kwahiyo endelea kuyumbayumba.Huna hela tulia, inamaana huyu aliyejenga hii nyumba hana akili awekeze hela zake sehemu yenye majanga?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huwezi pata mteja boya humu, kama unajua hakuna wateja kwanini ulileta tangazo in the first place?? Unayumbayumba tu ndugu dalali.Wala sio vita ni watu tu sio waelewa
Mwisho wake mtu atakayetaka kuja kuiona nyumba atafika eneo la tukio atajiridhisha
Hizi porojo za humu watu wanatumia bando zao tu hamna mnunuzi hapo
Aliye serious kanifata pm anataka kuja kuiona nyumba sio hao wapiga kelele
Kulipwa nini?Umelipwa unataka nakuuza
Haya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huwezi pata mteja boya humu, kama unajua hakuna wateja kwanini ulileta tangazo in the first place?? Unayumbayumba tu ndugu dalali.
Taa zimezimaVyuma vimekazaaaaa
Mwengine huyu nae kaona taaTaa zimezima
We **** acha usenge, hujalazimishwa kununuaNdio hana akili, wewe huna hata kibanda ni dalali tu na unaangalia kitumbo chako hujali maslahi ya wengine kwahiyo endelea kuyumbayumba.
Mkuu huwezi kupata kwa bei hiyo30ml cash ipo
Ila jitahidi kuwa na lugha nzuri ata kwa adui yako pengine akakufaa siku za usoni!!Kwasababu ya maswali ya kipuuzi, imeandikwa nyumba inauzwa mtu anauliza eti na beseni na gari na vyombo?
ishu ikiwa serious alafu mtu akileta upuuzi inakera sn
Sawa mkuu, ila wengine wanakera snIla jitahidi kuwa na lugha nzuri ata kwa adui yako pengine akakufaa siku za usoni!!
Umeumbuka vibaya,mtu mwenye akili timamu huwezi kuandika upuuzi kama huu
Mjinga pekee ndio atauliza swali hili..Huna hela tulia, inamaana huyu aliyejenga hii nyumba hana akili awekeze hela zake sehemu yenye majanga?
Umeumbuka vibaya,
Unadhani hapa jf ni kama hamnazo kwengine......
Pambana na hali yako kaka...na utapeli wa hivyo ushakua hauna deal...so njoo na version nyingine ya utapeli.
Sent from my SM-A8000 using JamiiForums mobile app[QiUOTE]
Ww fala sana, sasa hapo umetapeliwa kitu gani?