mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,297
- 8,866
hii nyumba nailipia mil 255 sababu imesimama kinoma, ndani ina Tanki la lita 5000 la bia , yaani TBL hua wanalijaza Kila mwezi , afu mabomba ya maji yanatoa maji ya upako ya mwamposa..hii siiachi!